Auditeurs:   {{ listeners }}

Gusa Radio

Chatroom (nouveaux messages)
Écouter
Stopper
Loading...
 Écouter
 Stopper
Chatroom (nouveaux messages)

À propos de la radio

GUSA RADIO ni kituo cha redio ya Kikristo kinacholenga kugusa maisha ya watu kupitia Neno la Mungu, muziki wa Injili, na vipindi vya hamasa na mafundisho ya kiroho. Tunatangaza ujumbe wa tumaini, upendo, na mabadiliko kwa jamii, tukiwahimiza wasikilizaji wetu kuishi kwa imani, kusimama kwa kweli, na kuenenda kwa maadili ya Kikristo.
Pays
Tanzanie  flag
Site web
https://gusa.tz/gusa-radio/ ↗
Langues
Kiswahili
Partager la radio